WOW !! MUCH LOVE ! SO WORLD PEACE !
Fond bitcoin pour l'amélioration du site: 1memzGeKS7CB3ECNkzSn2qHwxU6NZoJ8o
  Dogecoin (tips/pourboires): DCLoo9Dd4qECqpMLurdgGnaoqbftj16Nvp


Home | Publier un mémoire | Une page au hasard

 > 

Etude des déterminants de l'utilisation des services de santé par les ménages de la zone de santé d'Uvira, province du Sud- Kivu en RDC

( Télécharger le fichier original )
par Magnat KAKULE MUTSINDWA
Université officielle de Bukavu - Licence (BAC +5) en santé publique 2012
  

précédent sommaire suivant

Bitcoin is a swarm of cyber hornets serving the goddess of wisdom, feeding on the fire of truth, exponentially growing ever smarter, faster, and stronger behind a wall of encrypted energy

ANNEXE 2

QUESTIONNAIRE D'ENQUETE VERSION

SWAHILI

QUESTIONNAIRE D'ENQUETE ADRESSE AUX MENAGES

01 Nom Enquêteur : 04 Aire de Santé :

02 Date :

03 Quartier

 

/ / 2012

05 N° du ménage :

 
 
 
 
 
 
 
 

MAULIZO

Majibu (Tia kiviringo kwenye jibu linalo stahili)

A

HALI YA JOZI/JAMAA

A1

Nani ndiye msimamizi wa jamaa hili ?

1 - Baba 3 - Mwengine, umujulishe

2 - Mama 4 - Watoto wanaoishi wenyewe

A2

Hali ya kindowa ya

msimamizi wa jamaa ni gani ?

1 - Hajaowa 5 - Ameachana na bibi/bwana (Divorcé)

2 - Anaowa bibi mumoja 6 - Ametengana na bibi/bwana (Séparé)

3 - Anaowa wabibi wengi 7 - Ana rafiki wa muda (Union de fait)

4 - Mjane 8 - Jibu lingine, Ulijulishe

A3

Msimamizi wa jamaa ana umri gani ?

I___I___I Myaka

A4

Aina ya mtu anaye ulizwa

Muna pashwa kuuliza tu watu ambao wana myaka juu ya 15, kama mtu mkubwa hayuko kwa wakati ule, munaweza kurudi baadaye kama hayuko kwa muda

1 - Mama ao Bibi wa nyumba

2 - Kaka ao dada wa bwana/bibi wa nyumba 3- Mtoto wa nyumba

4- Mwengine. Ajulishwe :

A5

Wewe mwenyi kujibu una miaka ngapi/ Umri gani ?

I___I___I Myaka

A6

Wewe mwenyi kujibu una jesya (Sexe) gani ?

1 - Mwanaume 2 - Mwanamke

A7

Idadi ya watu ndani ya jamaa ?

(Watu ambao wanaishi ndani ya nyumba moja na wana changia chakula)

I___I___I Watu

A8

Dini la msimamizi wa jamaa

1 - Mu katolika 4 - Mwislamu

2 - Mu Protestanti 5 - Mukimbangu

3 - Mushahidi wa Jehova 6 - Mwingine. Ajulishwe.....

B

HALI YA JAMII NA UCHMI

B1

Msimamizi wa jamaa ana fanya kazi gani ?

1 - Mlimaji 5 - Mchuruzi/Mfanya viashara

2 - Mfugaji 6 - Mfanya kazi wa serkali

3 - Mvuvi/Mwindaji 7 - Mfanya kazi asiye wa serkali

4-Ufundi wa mikono (Kushona, Kuranda 8- Hana kazi lolote

mbao/Usermala) 9 - Jibu lingine. Lijulishwe :

B2

Msimamizi wa nyumba ali tumika myezi ngapi kwa myzi 12 iliyo pita ? (Kuanzia mwezi wa kenda wa mwaka wa 2011)

I___I___I Myezi

B3

Namna gani unapata pato inayo kusaidia kwakusishi ?

1 - Naishi kwa mazao ya mashamba/Ufugo 5 - Kwa misaada ya pesa

2 - Mazao ya uvuvi 6 -Kutafutatafuta

3 - Mazao ya ufundi wa mikono/Uchuuzi 7 - Hakuna pato lolote ?B7

4 - Msharaha 8 - Nmna ingine. :

B4

Ni kiasi gani ya pato lako ambayo una tumikisha kwa garama unazo ?

1 - Karibu bure 4 - Mingi kwa nusu

2 - Chini ya nusu 5 - Karibu pato lote ama lote linatumikishwa

3 - Karibu nusu 6 - Hata kidogo, pato lote linawekwa

B5

Msimamizi wa jamaa amesoma mpaka kiango/Somo gani ?

1 - Hakusomaka 3 - Shule la segondari 5 - Hajuwi

2 - Shule la Msingi 4 - Chuo chikuu

B6

Wewe mwenyi kuulizwa, umesoma mpaka kiango/somo gani ?

1 - Sikusomaka 3 - Shule la segondari

2 - Shule la Msingi 4 - Chuo chikuu

B7

Aina/Hali ya wanao ishi ndani ya nyumba

1 -Mwenyeji 3 - Anapangishwa kwa bure (Bila malipo)

2 - Mpangaj 4 -Jibu lingine. Lijulishwe :

B8

Nyumba ina jengwa na vifaa gani ?

1 -Magungu ao Nyasi (Majani) 4 - Matofali yasiyo chomwa

2 - Udongo 5 - Matofali yanayo chomwa, sima ao mawe

3 - Mbao 6 - Jibu lingine. Lijulishwe :

B9

Muko na shamba ambalo munalimaka ?

1 - Ndiyo 4 B11 2 - Hapana4 B12

B10

Kama Ndiyo, Mazao ya shamba ina tumikishwa namna gani ?

1 - Mazao ya uzishwa kwenyi soko

2 - Mazao yalisha jamaa

3 - Sehemu moja ya uzishwa kwenyi soko na sehemu lingine lina lisha jamaa

B11

Kuanzia myezi sita (6) iliyo pita, ilikufikia kuuzisha vifaa fulani vya nyumbani vyenyi samani kutokana na upungufu wa pato/pesa ?

1 -Ndiyo 4 B11 2 - Hapana 4 B12

B12

Kama NDIYO, kwa mfaa gani ?

1 - Kwa malipo ya nyumba ya upangaji 3 - Malipo ya matunzo 5 - Ndowa/Mali ya kuowa ao kuowesha

2 - Malisho 4 - Mamipo ya masomo 6 - Lingine. Lijulishwe

B13

GARAMA ZA JAMAA KWA MYEZI TATU ILIYO PITA

 

Myezi tatu (wamnane, wakenda, wakumi)

 

a) Usafirisaji (Transport)

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

B14

PATO LA JAMAA KWA MWEZI MOJA

a) Pato la jamaa (Uchuruzi, Mshahara, Kazi zingine)

Pato kwa mwezi moja

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

FC

$

 
 

C

MATUNZO YA AFYA

C1

Imekuwa muda gani tangu ugonjwa wa mwisho umejitokeza kwako ama kwa mwana memba moja wa jamaa mako ?

1 - Chini ya mwezi 1 3 - Kati ya myezi 7 na 12

2 - Kati ya myezi 3 na 6 4 - Zaidi ya myezi 12

 

Kwa ugonjwa huo wa mwisho ulio jitokeza ndani ya jamaa/nyumba :

a) Mgonjwa alikuwa wa aina gani (Mume ao muke) ?

1 - Mume 2 - Muke

 

1-Kati ya 0 na myezi11 2-Kati yamwezi 12 na59 3 -Kati ya myaka 5 na 15 4-Zaidi ya myaka 15

 

1 - Maleria 3 - Magonjwa za kifua 4 - Suluba/Atoto

2 - Kuhara 5 - Ugonjwa ingine. Litajwe :

 

C3

Kwa ugonjwa huo, mgonjwa alijielekeza kwenyi matunzo ?

1 - Ndio4 C4 2. Hapana 4 C5

C4

Ni wapi alijielekeza kwa mara ya kwanza

1 - Kwenyi kituo cha afya cha serkali (CS) 4 C7

5 - Kwa mfumu 4 C7

2 - Kwenyi kituo ndogo cha afya (Poste de Santé) 4C7 6 - Kwenyi chumba cha maombi 4 C7

3 - Kwenyi hospitali la serkali (HGR) 4 C7 7 - Dispensere ama clinike la ki binafsi 4 C7

4 - Chumba cha kuuzisha dawa ao kwa muuzisha dawa

8 -Sababu lingine. Linjulishwe 4 C7

barabarani 4 C7

C5

Kwasababu gani ulipendelea kujielekeza kwa mara yakwanza kwa Chumba cha kuuzisha dawa ao kwa muuzisha dawa barabarani

1 - Hakuna pesa

2 - Beyi nzuri

3 - Ugonjwa haukukuwa wa hatari

4 - Ni karibu sana

C6

Kama Hapana, sababu gani haku jielekeza kwenyi matunzo ?

1 - Kwaku mwona mganga beyi ni kali 6 - Waganga ha wakukuwa kwenyi kituo

2 - Dawa ina beyi kali 7 - Kuto kuaminia waganga

3 - Hakuna pesa 8 - Kituo kina patikana mbali

4 - Ugonjwa haukukuwa wa hatari 9 - Sababu lingine. Lijulishwe .

5 - Hakuna usafiri

C7

Kwa matunzo ya ugonjwa huo, mumelipishwa franka ngapi za Congo (Andika 0 ikiwa hakulipishwa

a) Beyi ya matunzo kwa jumla (Kwa kumwona mganga, dawa na vipimo)

b) Kwa usafirisaji (Transport)

c) Garama zinigine. Zitajwe .

d) Jumla

kitu)

FC

FC

FC

FC

C8

Namna gani mgonjwa amelipa ?

1 - Amelipa pesa yote bila shida

2 - Kwa kuuzisha kitu cha nyumbani ili apate pesa

3 - Ali tunzwa kwa deni

4 - Kwa kukopa/Kukopesha kwa jirani ao ndugu

5 - Hakulipishwa kwa sababu ni mnyonge

6 - Jibu lingine. Litajwe .

C9

Ikiwa wewe ama mwanamemba wa jamaa lako anapatikana na ugonjwa, ni kwenyi kituo cha afya cha serkali cha karibu ambako unajielekeza kwa mara ya kwanza ?

1 - Ndiyo 2 - Hapana

C10

Ikiwa mwanamemba wa jamaa (mkubwa ao moto) anagonjwa malaria/homa,

unaweza pendelea kulipa beyi gani (prix maximal) kwa ugonjwa huo?

Mkubwa I I I I I I I FC

Mtoto I I I I I I I FC

D

PARTICIPATION COMMUNAUTAIRE

D1

Una mfahamu mtetezi (Relais Communautaire) wa eneo lenu la afya (Aire de Santé) ?

1 - Ndiyo 2 - Hapana

D2

Una juwa kazi za mtetezi (Relais Communautaire) ? 1 - Ndiyo 2 - Hapana

D3

Mtetezi wenu wa eneo la afya ana wahusisha kujielekeza kwenyi matunzo kwenyi kituo cha eneo lenu la afya ?

1 - Hata mara moja 2 - Kuna mara 3 - Kwa kawaida

D4

Kuna mtetezi wa eneo la afya (Relais Communautaire) ambaye ana kujaka kuwaeleza habari za kituo cha eneo lenu la afya ?

1 - Hata mara moja 2 - Kuna mara 3 - Kwa kawaida

D5

Inakuwa muda gani tangu muli chagua watetezi (Relais Communautaire) wa eneo lenu la afya?

1 - Kati ya0 na myezi 6 3 - Zaidi ya mwaka 1 5 - Hajuwi

2-Kati ya myezi 7 na12 4- Hata mara moja

D6

Wewe umekwisha kujielekeza kwenyi kituo cha afya kwa kufahamu habari za eneo lenu la afya ?

1 - Ndiyo 2 - Hapana

Tuna washukuru kwa wakati ambao mumetupatia kwakutujibu !

précédent sommaire suivant






Bitcoin is a swarm of cyber hornets serving the goddess of wisdom, feeding on the fire of truth, exponentially growing ever smarter, faster, and stronger behind a wall of encrypted energy








"L'imagination est plus importante que le savoir"   Albert Einstein